JINSI YA KUJIUNGA NA VIP
ENTREPRENEURSHIP CLUB
(JOINING INSTRUCTIONS)
SIFA ZA MWANACHAMA
a)
Ni
lazima awe na miaka 18+
b)
Ni
lazima awe mwanafunzi wa chuo cha elimu ya biashara.
c)
Ni
lazima awe Mtanzania
JINSI YA KUJIUNGA
a)
Jaza
fomu ya kujiunga.
UENDESHWAJI WA CLUB
a)
CLUB
itakuwa inakutana mara moja kwa wiki SIKU YA JUMAMOSI SAA TANO kamili kila
mwezi ila kwa dharura au shughuli za nchi.
b)
Club
itaendeshwa kwa njia kuu ya majadiliano na kushirikisha wanazuoni wakubwa
kufundisha mada mbalimbali na pia kuzifanyia kazi hizo mada kuhakikisha
wanachama wanaelewa na kutenda wanachofundishwa
c)
Watu
maarufu na waliofanikiwa katika ujasiriamali watatumika kuweka chachu kwa
wanachama
d)
Kila
wiki kutakuwa na shughuli (activities) ambazo zitamhitaji mwanachama kushiriki.
FAIDA ZA UANACHAMA
a)
Mwanachama
atatakiwa kubuni mradi ambao unatija kwa jamii na mradi huo utawezeshwa na
mwanachama na club itafaidika kwa mradi huo
b)
Mwanachama
atajipatia fursa ya ajira toka kwa kampuni wanachama
c)
Mwanachama
atapatiwa elimu ya ujasiriamali ambayo itamwezesha kukabiliana na changamoto
mbambali za ujasiriamali na ajira.
d)
Mwanachama
anayeshiriki katika kila shughuli(activity)atapata alama tano(point 5)
Na anatakiwa
kushiriki kwanye activities zisizopungua 20 ( miezi mitano katika ili kujipatia
point 100 ambazo zitamwezesha kulipiwa ada kwa asilimia 100.
0 comments: